Jinsi Ya Kupata Mme
Emmanuel Smith
Baadhi ya wanawake, uhitaji wa mme inaweza kukamilisha mtindo wao wa maisha, wengine inaweza kuwa ni mkono wa msaada ndani na nje ya nyumba, na baadhi yao inaweza kuwa uhitaji wa kuanzisha familia, nakadhalika.Hiki kitabu sio kwaajili ya kuchambua sababu,kinatoa ushauri mfupi wa namna ya kuifanya ndoto ya kila mwanamke ya kuwa na ndoa inakamilika...kwa chini ya dakika 60
Jinsi Ya Kupata Mume
EMMANUEL SMITH
Kimetafsariwa Na: Emmanuel Satongima
Hakimiliki © 2021 Emmanuel Smith
KUHUSU MWANDISHI
Emmanuel Smith ni mwandishi Nguli na Mzungumzaji wa hadhara.
YALIYOMO
Utangulizi
Anaonekanaje?
Unaonekanaje?
Unahitaji kwenda kutafuta.
Usijionyeshe mkali sana.
Baki kuwa wewe.
Onyesha shauku yako.
Mfanye acheke.
Ongea kidogo, sikiliza sana.
Tengeneza urafiki na marafiki zake…………………………………………………20
Jihusishe na vitu anavopenda.
Endelea na maisha yako.
Mtulize……………………………………………………………………………………………23
Usimtumie kwa manufaa yako.
Ni rafiki au mume?
Ni mwanaume wako, au mama ushauri wake?
Usijihujumu mwenyewe.
Anahitaji kuwa mume wako?
Pima shauku yake kuhusu Ndoa.
Onyesha kujali Shughuli zake.
Onyesha unajali masuala yako ya kifedha .
Kuwa mwanamke wa kawaida.
Usiharakishe mambo.
Punguza matarajio yako.
Ruhusu Uhusiano wako kukua.
Kimsingi acha kutavuta.
Utangulizi
Habari! Hongera kwa uamuzi wa kumtafuta mwenzi wa Maisha. Kwasababu unasoma kitabu hiki, ninaamini umeona ni kitu sahihi kufanya.
kwanini unahitaji mume sio kitu muhimu kwangu, wala kwa mtu mwingine yoyote. Inawezekana ni kwa ajili ya kujiongeza sifa kwenye maisha, baadhi yao ni kupata msaidizi ndani na nje ya nyumba, kwa wengine, uhitaji wa kuanzisha familia, na sababu nyingine nyingi. Kitabu hiki sio kwa ajili ya kuchambua sababu ulizonazo. Bali ni kusaidia ushauri wa namna ya kufanya matamanio yako kuwa kweli.
Ninafahamu hauna muda wa kusoma vitu vingi vitakavyokupa hasira. Kwahiyo, twende tulimalize hili, nina matumaini chini ya dakika 60 tutakuwa tumemaliza.
Конец ознакомительного фрагмента.
Текст предоставлен ООО «ЛитРес».
Прочитайте эту книгу целиком, купив полную легальную версию (https://www.litres.ru/pages/biblio_book/?art=64262932) на ЛитРес.
Безопасно оплатить книгу можно банковской картой Visa, MasterCard, Maestro, со счета мобильного телефона, с платежного терминала, в салоне МТС или Связной, через PayPal, WebMoney, Яндекс.Деньги, QIWI Кошелек, бонусными картами или другим удобным Вам способом.
Emmanuel Smith
Тип: электронная книга
Жанр: Семейная психология
Язык: на языке суахили
Издательство: TEKTIME S.R.L.S. UNIPERSONALE
Дата публикации: 16.04.2024
Отзывы: Пока нет Добавить отзыв
О книге: Baadhi ya wanawake, uhitaji wa mme inaweza kukamilisha mtindo wao wa maisha, wengine inaweza kuwa ni mkono wa msaada ndani na nje ya nyumba, na baadhi yao inaweza kuwa uhitaji wa kuanzisha familia, nakadhalika.Hiki kitabu sio kwaajili ya kuchambua sababu,kinatoa ushauri mfupi wa namna ya kuifanya ndoto ya kila mwanamke ya kuwa na ndoa inakamilika…kwa chini ya dakika 60